Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi hawa ma modes wanaweza nifungulia PM yangu? Nilishapoteza ufunguo siku nyingi! Na wa kule chini, kwa wakubwa![emoji848]
Uliifunga kwa nini? Ulikuwa unafuatwa kutongozwa na mabinti? Wewe ndo mwanaume wa kwanza kusikia eti kafunga PM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na kule chini kwa wakubwa ni wapi huko?
 
Yaani yale maisha aliyo pitia mdogo wangu yale!!!!
Nitaloga mtuuuu... Kweli vile. Najua akili za Cole zimelazwa na mtu fulani,nitazunguka popote niziamshe... Walahi ya nani vileee...
 

Kule chini kwa wakubwa bana, we vipi! [emoji23]
 
Amen. Ile talaka nimeifuta mpaka apone. Matibabu yake yote nipo answarwabo kwakweli[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
U mtu mwema sana shemeji. Huo ndo ubinadamu sasa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…