mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] poti nakuona wewe hatari sanaAndaeitini Alisha declare kuwa hana madhara. Ogopa sana mtu anayejifanya mlinzi, hawachelewagi kugeuza kibao hawa na ku apply ile falsafa ya tunakulaga! [emoji23][emoji23][emoji23]
Miezi mitatu sasaJun 16, 2017
CantstopwontStop
Hahahahaha theory tu hiyoAcha niendelee kuwa kilaza[emoji23][emoji23][emoji23]maana napenda kulalaView attachment 589204
HahahahahaNiliaga ndio nikakumbuka ni weekend acha ning'ae sharubu tena kidogo humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii imenishtua kutoka usingizinj nilikuwa nimelala kabisa lawama zote zako kuanzia sasa sipendi mchezo mchezo. [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Du ghostBasi angalia hii picha yangu ya harusi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 589207
Atakuwa alipata kitu cha mwituniMmhh!saizi unekunywa nini wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti kichwa maji
Naona unataka kuRip hapoNiache nipige selfie kabla sijalala.
Karibu selfie
Yego chikaka misango je ndeyoHivi hawa ma modes wanaweza nifungulia PM yangu? Nilishapoteza ufunguo siku nyingi! Na wa kule chini, kwa wakubwa![emoji848]
Nini hii
Yuko wapi huyu jamaa sasa hivi CIA wanamwinda kweliHivi kuna ulinzi kama wa wale jamaa wa CIA? Lakini Snowden alitambaa na mambo! [emoji23][emoji23]
Hahahahaha wakerewe bhanaMbona umekashupalia sana haka ka Jakitoo? Unakajuaje na sleeping pattern za kenyewe? Unawezaje kuzungumzia ratiba za kulala za mpenzi wa mtu? Wewe andaeitiini yawezekana ukawa hatari zaidi kuliko hata singo faza mwimba gospo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa mkuuProfessional answer [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kabisa mkuuProfessional answer [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kabisa mkuuProfessional answer [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kabisa mkuuProfessional answer [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
09:1623:36
HahahahahaSi ajabu bondo la boarding school hili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kwa ufupi nilionao kwetu me ndo mrefu,sasa jiulize hao wengine wakoje[emoji23]Ongeza urefu huo si kwa ufupi huo kwa kweli unatokea ukoo wa lannester nini. [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Inabidi nisiage tena maana nimeshaaga.