moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Post chochote upate likes
Post chochote upate likes
Am gud[emoji5]Mimi ni mzima kwakweli
Sijui wewe
DiveDon't call me baby unless you mean it
CantstopwontStop
NjemaHabari za asbh Tanzania
SafiHabari za asbh Mama TANZANIA
Hamjambo wana wa Lake Tanganyika stadiumHabari za asbh Kigoma
Safi sanaHabari za asbh
Hamujambo wana wa KashoziHabari za ash Kagera
Wandugu wa jiji mawe, nyegezi mpaka Buzuruga, hamjamboHabari za asbh Mwanza
Wana wapenda ugomvi, mnaodhani kuwa suluhu ya matatizo ni silaha. JIANGALIENI sanaHabari za asbh Mara
10:5207:00
Jamani wana Katoro na vitongoji vyake hamjamboHabari za asbh Geita
Nsamaka nakupenda, nisalimie wote hapo mjini KahamaHabari za asbh Shinyanga
Mkoa wa watu wopole na wakarim, wa mama wanaoamini kwenye LimbwataHabari za asbh Tabora
Oooh, habari zenu wagema asali na wakulima wa tumbakuHabari za asbh Katavi
Wafuga mamba wa ziwa Rukwa mnaumiza nguvu kazi jamani, kuweni na hurumaHabari za asbh Rukwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mimi
AMUN RA10:25
Kwa kasiJumamosi inasogea
Idumu mileleAmani yetu