moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hamjambo, punguzeni hasira. Tabia za kujinyonga zimepitwa na wakatiHabari za asbh Iringa
Hamjambo, punguzeni hasira. Tabia za kujinyonga zimepitwa na wakatiHabari za asbh Iringa
PendwaUtu wetu
AMUN RA10:30
Mabinti warembo mliyeumbika, hamjambo. Mtusalimie wazazi na kaka zenuHabari za asbh Singida
Timu ya soka mji Mpwpwa iko siku hizi?Habari za asbh Dodoma
Kwa kila postLikes kwa posti
AMUN RA10:35
Majira yakeKila jambo na wakati wake
Mkuu mambo vipiNjema habari yako
Pamoja sanaSafi bro,
Hivi kuungua kwa Soko la Mwanjelwa, soko Matola na baadaye soko la Sido tatizo nini hasa ndugu zangu?Habari za asbh Mbeya
Lake TanganyikaHamjambo wana wa Lake Tanganyika stadium
Sio wote lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wana wapenda ugomvi, mnaodhani kuwa suluhu ya matatizo ni silaha. JIANGALIENI sana
AMUN RA10:52
Songea twawapenda sana, endeleeni kuzalisha mahindiHabari za asbh Ruvuma
Anaumwa bibie mbona hujamjulia haliNsamaka nakupenda, nisalimie wote hapo mjini Kahama
Msimu wa korosho ndiyo huu, kazi kwenuHabari za asbh Mtwara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] limbwataMkoa wa watu wopole na wakarim, wa mama wanaoamini kwenye Limbwata
HahahahahaWafuga mamba wa ziwa Rukwa mnaumiza nguvu kazi jamani, kuweni na huruma
Hakuna wa kujingonya Siku hizi maisha matamuHamjambo, punguzeni hasira. Tabia za kujinyonga zimepitwa na wakati