mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hila kweli wazuri mabinti wa hapoMabinti warembo mliyeumbika, hamjambo. Mtusalimie wazazi na kaka zenu
Hila kweli wazuri mabinti wa hapoMabinti warembo mliyeumbika, hamjambo. Mtusalimie wazazi na kaka zenu
Wana wa Kinjekitile, heshima kwenuHabari za asbh Lindi
Hata CDA imekufa kabisa kuna Polisi tu ndio ina uhaiTimu ya soka mji Mpwpwa iko siku hizi?
Wazee wangu wa Bagamoyo punguzeni umwinyi Dunia imebadirika hiiHabari za asbh Pwani
Aisee pale kuna shida kidogoHivi kuungua kwa Soko la Mwanjelwa, soko Matola na baadaye soko la Sido tatizo nini hasa ndugu zangu?
MajimajiSongea twawapenda sana, endeleeni kuzalisha mahindi
Watu wanapiga hela tuMsimu wa korosho ndiyo huu, kazi kwenu
Wakulima stadi, endeleeni kulisha jiji la Dar es Salaam na Visiwani. NAWAHESHIMU sanaHabari za asbh Morogoro
KikwetuWana wa Kinjekitile, heshima kwenu
Tohara kwa mabint IKOMEHabari za asbh Manyara
Mwinyi heri bin nafuuWazee wangu wa Bagamoyo punguzeni umwinyi Dunia imebadirika hii
Heshima kwaoWakulima stadi, endeleeni kulisha jiji la Dar es Salaam na Visiwani. NAWAHESHIMU sana
Heshima kwaoWakulima stadi, endeleeni kulisha jiji la Dar es Salaam na Visiwani. NAWAHESHIMU sana
Nawapa hongera kwa kuepukana na fujo za kisiasa kwenye jiji lenu la kitaliiiHabari za asbh Arusha
Kweli wanaondoa utamuTohara kwa mabint IKOME
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nina uniq gani hadi niwe Tanga jiji la kupakatana?Poa kabisa Tanga niaje hapo
DaahNsamaka nakupenda, nisalimie wote hapo mjini Kahama