HatareKuna mambo mengi sana kuhusu buibui, lakini muhimu ni kuwa katika wanadamu wapo wenye sifa za buibui, kwa maana kila mwanadamu ana tabia au sifa moja wapo katika tabia za wanyama na wadudu.
Aah jamaa yangu tuaminiane banaHapo ndipo nimepoteza uhakika kwako.
Wee mzee kwa totozi haufai
Likes kwa Likeskupeana likes.
Lema Rais wa ArushaNawapa hongera kwa kuepukana na fujo za kisiasa kwenye jiji lenu la kitaliii
AhsanteLikes kwa Likes
KabisaLema Rais wa Arusha
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nina uniq gani hadi niwe Tanga jiji la kupakatana?
Moudgulf ni jirani yangu tangu utoto