mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Am real fine. Niaje mama...Ha wa yuu
Endeleeni kuwekeza kwenye Elimu ili wengine wajifunze kwenuHabari za asbh Kilimanjaro
Salama kabisaAm real fine. Niaje mama...
[emoji134] [emoji134] [emoji134] kweli moyo mashine...Nsamaka nakupenda, nisalimie wote hapo mjini Kahama
Wanawake wa hapo ni maarufu sana kwa uhodari wenu wa mapenzi, miaka michache ijayo mtaingizwa kwenye kitabu cha "GUINNESS BOOKS OF RECORD" pambaneni na hali zenuHabarinza asbh Tanga
Naomba tuonane kule, nimekwama... Nao nao puliz...Salama kabisa
Hamjambo ndugu zetu, poleni na majukumuHabari za asbh Pemba
Unguja ni njema...Habari za asbh Unguja
Habari zenu wana DarHabari za asbh Dar es salaam
Nampenda kama rafiki, usijali sana hata wewe ni rafiki yangu pia[emoji134] [emoji134] [emoji134] kweli moyo mashine...
carbamazepine habari yakoSalama kabisa
Mkuu mbona umeshangaa?Daah
CantstopwontStop
[emoji3] [emoji3] [emoji3] wewe ni jirani, rafiki mpenzi tangu zama za hashua za mbuzi kwa Sokota[emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nina uniq gani hadi niwe Tanga jiji la kupakatana?
Moudgulf ni jirani yangu tangu utoto
[emoji3] [emoji3]Kweli wanaondoa utamu
Hivi inzi anaishi siku ngapi vile?Inzi ana mabawa mawili na miguu sita ambayo pia huitumia kuonjea chakula. Miguu ya nzi ina uwezo wa kuonja sukari mara milioni 10 haraka zaidi ya ulimi wa mwanadamu!!. Inzi hutumia milingoti (antenae) yake kunusia. Ingawa inzi ana lensi 4000 ndani ya macho yake, lakini huona vizuri umbali wa inchi 24 hadi 36.
Hapo ndipo nimepoteza uhakika kwako.Nampenda kama rafiki, usijali sana hata wewe ni rafiki yangu pia
Sijui kama anaumwa, jana sikukaa sana hapa, napitwa na mengiAnaumwa bibie mbona hujamjulia hali