Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huku siku hizi stori zimepungua ndo mana natangatanga
Halafu leo hata sioni dalili sijui hamna[emoji19][emoji19]
Ukiwepo wewe hapa mi siondoki. Na Andjul. Na Mzee wa pwani. Na bro...

Jukwaa la siasa nimetegeshea mapovu. Nitakwenda kucheki mavuno baadaye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weee mzee ndio nini sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cheamani, unataka niweke picha za aina gani sasa? Jana niliweka CHAWAMITA materials kidogo ukanilalamikia kuwa umeshikwa redi hendedi. Hata huyu sungura akicheza na familia yake naye amekuletea matatizo? Picha za aina gani sasa unataka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…