Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wewe ni midieta shemeji. Kama vile unatumika kuwakutanisha. Pengine ka andaeitini kanakutumia japo hujui. Kajanja sana kale !!!

Da we jamaa inaniwangia kweli kweli! Na yule Mwenyekiti wako ndio balaa. Ila unajua, unapokutana na vigingi vingi kwenye safari yako ya kuelekea nchi ya ahadi, ujue tu kwamba you're almost there! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu nakuja kuchungulia povu, [emoji3] [emoji3] teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…