Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa ni mapambano tu, embu kwanza ngoja nipate supu ya kongoro hapa, nitarejea! Lakini kabla sijaondoka, carbamazepine, uwe na weekend njema! Pokea kwanza hiyo present!

View attachment 589655
[emoji124][emoji124][emoji124]
Uchonganishi huu ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui niipokee[emoji85] [emoji85]
 
Da we jamaa inaniwangia kweli kweli! Na yule Mwenyekiti wako ndio balaa. Ila unajua, unapokutana na vigingi vingi kwenye safari yako ya kuelekea nchi ya ahadi, ujue tu kwamba you're almost there! [emoji23][emoji23][emoji23]
Umekuwa mfuasi wa Odinga na safari zenu za kinafiki kwenda nchi ya ahadi?
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] hayaaa.... Ona dharau hizoo
 
Ukiwepo wewe hapa mi siondoki. Na Andjul. Na Mzee wa pwani. Na bro...

Jukwaa la siasa nimetegeshea mapovu. Nitakwenda kucheki mavuno baadaye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha, nacheka kwa sauti mpaka hapa mgahawani watu wamegeka kuniangalia. Kwamba umetegeshea watu wapovuke [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Cheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…