Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7. Mashoto wana uwezo mkubwa zaidi wa kufanya mambo mengi sana (multi tasking). Utafiti wa Dr. Nick Cherbuin wa Chuo Kikuu cha London unaonesha kuwa mashoto wana uwezo mkubwa zaidi wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja na ndiyo sababu ni wazuri zaidi hata kwenye video games.
 
8. Mashoto wanapenda zaidi wanyama. Jambo la kusisimua ni kuwa dubu (bear) wote ni mashoto. Mashoto wa kiume huwapenda sana paka, na jambo la kushangaza zaidi paka wote wa kiume ni mashoto. (Naomba kukiri kuwa hili jambo linanihusu).sio mie ni mwandishi wa makala. Mie kulia bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…