mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
MhhhhSasa ni mapambano tu, embu kwanza ngoja nipate supu ya kongoro hapa, nitarejea! Lakini kabla sijaondoka, carbamazepine, uwe na weekend njema! Pokea kwanza hiyo present!
View attachment 589655
[emoji124][emoji124][emoji124]
Aisee huyu alienda Mogadishu sijui kama yuko salama[emoji124] [emoji124] Bob12
Mpe andjul amplekeeNifungulie mlango niko na matunda hapa[emoji525][emoji526][emoji531][emoji524][emoji530][emoji522][emoji520][emoji529]
Mabovu kuliko yale ya wiki jana mlipopigwa tano kavu?Matokeo mabovu kabisa kwa Liverpool
Dogo acha kabisa,yaliyonikuta leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dogo ni poa sana.
Naona wamekupanda kichwani leo mzee yule. [emoji23]
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] mzee kila siku akirudi kalewa, hana muda wa kuongea na shemeji yangu. Mpaka anaomba company yangu angalau...niwe namsaidia kuangalia pamoja tamthilia
Al Shabab washindwe na walegee....Aisee huyu alienda Mogadishu sijui kama yuko salama
Mkuu tupo
HahahhaaUmekuwa mfuasi wa Odinga na safari zenu za kinafiki kwenda nchi ya ahadi?
Tena ya black mambaWe mzee jiangalie mke wa mtu sumu[emoji23][emoji23]
HahahahahaSio kweli... carba ndiye chanzo, kakumbushia vile ulivyomtafuta jaki baby usikuuu...
ho chi minh utapeli wake aliamiashia kwa hospital.Mchina wapi kk
Nani tenaHahaha mpe shemeji mough aniletee.