mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AgrrrrhaBurnley
HahahahahaHata mimi hauniamini? Kweli nimeamini... Kila mtu apambane na hali yake
Ubuyu umeingia kwenye damu ndio shidaUmbea umeniponza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Moja moja na timu ya mchangani roho inauma KweliMmefungwa ngap leo
Bob sijui kama yupo hai mambo ya Mogadishu si mchezoEmbu wewe tulia tukuoneshe kazi. Hivi wapi Bob, kuja pande hii tuwapimie upya watu viwanja vya kujenga mazizi yao! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]