Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku hazifanani
Unakumbuka enzi zile wanabembelezana kwenda kulala
Mara wapelekane kazini[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha uliyaacha kwa mangiMatunda yangu umeyapata?
Tumepata sareNa leo tena liver wamechezea?
HahahahahaHalafu huyo she, nikipona tu atanitambua. Yaan hapa nimemuweka pending tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani huyo uliye mtaja ni sumu kali sana kwetu wenye umiliki humu.
Ukhuty languageggtdhdrfhgffdrg
Kama kuna miujiza kwenye soka basi ni gunners kushinda keshoTena na arsenal kbs, labda?
Nini tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani jamani
Nakuona sana napiga kimya tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Me naitwa tu ujue[emoji23][emoji23][emoji23]halafu siwezi kukataa wito eti
HahahahahaTangazo tangazo.
Kwa atakae muona mchina mweusi amevaa suruali ya pink kwa majina anaitwa ho chi minh ila utumia majina tofauti katika utapeli atapewa zawadi nono.
Mzee huyu anatafutwa kwa makosa mengi.
Katika kijiji chake.
Mambo ya wasu yanaleta shida huku punguza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mambo niaje, nsamaka wasu! [emoji23][emoji23]
Hahahahaha dahMakosa hayo
1.) kuuzia wanafunzi kinywaji kikali kwa kuwadanganya maji safi katika kituo chake cha tution cha kufundisha Advanced Pure Mathematics huku aliishia darasa la 3 katika elimu ya siasa na michezo
Dah2.) kujifanya ni fundi umeme kishoka na kusababisha kuunguza vitu vya dhamani kwenye nyumba za watu
MistariTuna team up sasa, sijui mtatokea wapi. Nasema hivi, tunahitaji viwanja vipya vya mazizi humu! Halafu kuna tetesi kwamba zizi lako ni maridadi kwelikweli, hiyo haitasaidia lisivunjwe. Liko nje ya ramani ya jiji! [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unakwenda kwa MzeeHapana jamani[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio duniaMaviumbe mengine ndivyo yalivyo mkuu...Yameumbwa hivyo hivyo kuachama achama tu. Yakiwa na njaa kuachama, yakiwa yamevimbiwa kuachama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]