Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-09-16-23-32-08.png
 
Ni mzee mfupi ambaye huvaa suruali ya kitamba kizito (mpira) rangi ya pinki ama dhambarau,
Kuchwani hupenda kuvaa kofia ya sweta,
Miwani ya giza,
Koti refu, ukimuangalia kwa makini ana meno ya bandia,
Hupenda kuvuta tumbaku,
Macho mekundu,
Anapotembea kama anachechemea hivi,
Ni mtu hatari sana,
Tanesco wanamtafuta kwa kosa la kuunganishia watu umeme(kishoka)

Anatembea na chupa alizoandika ni almasi to mwadui(utapeli)

Wakati mwingine hujifanya mganga wa kienyeji.

Keshatumikia vifungo maeneo mbalimbali kwa makosa mengi ya uharifu.

Anajua kuongea kiungwana sana lakini naombeni Kokote asiaminiwe wala kupokelewa,
Msifanye huruma la sivyo mtalia na kusaga meno.
Hahahahaha nani hiyo mchina
 
Back
Top Bottom