Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
W789
Kama hovyo lazima tuseme tu haijalishi kam timu pendwa yanguKama inakupa jaka la moyo we ipige chini. Liverpool kwani nini bana, watu walishabikia Lipuli na bado wanafuraha ya moyo, itakuwa Liverpool bana! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Roger milla
HahahhaaMsukuma kajua kubembeleza leo??? Maajabu ya leo
Nenda Uzi usika[Colour red]