moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Habari za Asubuhi KilosaHabari za asbh MOROGORO
Habari za Asubuhi KilosaHabari za asbh MOROGORO
Habari ya kuamka wana wa UbungoHabari za asbh DAR ES SALAAM
Habari zenu WeteHabari za asbh PEMBA
HahahahahaKiongozi Leo vipi?au umekata [emoji3][emoji3]
Habari ndugu wa MakunduchiHabari za UNGUJA
Habari za asubuhi kusini UngujaHabari za asbh UNGUJA
Du sasa hapo usingizi utakuja kweli
Habari zenu IrambaHabari za asbh SINGIDA
Habari zenu za kuamka KongwaHabari za asbh DODOMA
Habari za kuamka MbuluHabari za asbh MANYARA
Habari za kuamka jijini ArushaHabari za asbh ARUSHA
Habari zenu hapo SihaHabari za asbh KILIMANJARO
Mmeamkaje hapo HandeniHabari za asbh TANGA
SawaNarudi 7 hrs ago kucheki gapes za likes
Kabisa mkuuIsipokuwa namba [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kichwa habariKwanini mkuu
Dukaribu kiongozi![]()
Karibu mkuuJamani nimekuja, wembe ni ule ule, wekeni post zenu nizimwagie likes