Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Utulivu + Ukimya tu mama.Poa
Aje huko
Utulivu + Ukimya tu mama.Poa
Aje huko
Tumefikia huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nenda kapitieWatu wengine tena?
Karibu huku kwenye keleleUtulivu + Ukimya tu mama.
Mia mia
Zinaenda vemaCaptain salama kabisa.
Harakati zinakwenda lakini?
Dogo nakuona unavyochungulia tu.Dogo hujambo
HahahahaHii hunter hunter sijui mnawinda nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] andjul nisaidie kuuliza kwa kk
Nimependa hii sana
Kelele kutoka kwako???Karibu huku kwenye kelele
Naona hata hili jina la chura limetokana na hii kitu
Sijapita toka niambiwe nijipige vibao nilie. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nenda kapitie
America got talent aisee Mtoto anaimba huyu like
AMUN RAWakuu. Muwe na Jumapili njema. Mungu Atulinde sote na kutubariki siku ya leo. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kabisa namfuatilia sana sauti 100% kama CelineHuyu Mtoto anaimba nyimbo za Celine Dion mpaka unashangaa!
Poa mkuuJumapili njema, tutakutana tena baada ya masaa kadhaa! [emoji120]
Kilio cha nini[emoji44] [emoji44] [emoji44] [emoji44]
Poti - kabila mojaPoti ndo nini?msaada tafadhali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani unagongelea msumari kabisa[emoji134][emoji134]
AminaHabarini ya leo wapendwa
Tumshukuru Mungu kwa uzima