[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi ho chi minh amebadilika
Dom salama kabisa makao makuu ya nchi hapa tunapambana na hali zetuSalama
Habari ya dom
BREAKING NEWS
Dereva wa Mbunge wa Tarime Mhe. Henche hoi baada ya kukatwakatwa kwa mapanga usiku na watu wasiojulikana
Basi nimeghairi ina maana singo faza ameshakuletea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njooo tu[emoji378][emoji378][emoji378][emoji378]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi lete ubuyuNitaanza leo[emoji30][emoji30]
Ila nikiacha mtasoma namba huku hadi mkome[emoji23][emoji23][emoji23]
Alhamdulillah japo sio sana. Ila angalau kidogoSawa my princess
Vipi lakini unaendeleaje
Singo faza sijui katekwa,maana sijamuona jukwaani leo sijui siku ya ngapBasi nimeghairi ina maana singo faza ameshakuletea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sitaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi lete ubuyu
Shemeji Jana nilileta matunda lakini mzee.......[emoji3] [emoji3] alinigomea kuingiaHahaha mpe shemeji mough aniletee.
Unajua leo nakuona vizuri hapa[emoji30][emoji30][emoji30]doooh!
Aisee!!!!!!!!Jakitoo. Niruhusu nilale bebi. Ni mimi mbachao wako. Ukienda kanisani leo niombee. Ombea penzi letu. Ombea mioyo yetu. Ombea fungamo hili tukufu. Simama imara. Tupiganie. Ewe binti mwema usiye na mawaa. Tutashinda. Nami bila shaka nikifumba macho leo nitakuona hapa kitandani pangu. Ukinijia. Umefunua mikono yako yenye amani ili kunipa fumbato la kweli. Nami kama kitoto kichanga kilichochoka. Nitakilaza kichwa changu katika kifua chako chenye fukuto. Nitausikiliza moyo wako ukiniimbia nyimbo tamu na kunibembeleza. Pengine nitalia. Vichozi vya moto vitakavyodondokea katika kakifua kako kale kazuri. Utapumua. Nami nitapumua. Tutapumua pamoja. Hakikisho la umoja wetu. NAKUPENDA Jakitoo [emoji131][emoji131][emoji131][emoji131][emoji131]
Shinyanga huwa napita njia tuTupo salama kabisa mkuu
Andjul mzee wa zama mwenzetu anakupa hi lakini mambo ya shy uache
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yes, kitoo! Oops, my bad! [emoji23][emoji23]
Sidhani kama kweli kuwa Sadio ndiyo sababu, nadhani hata kama angekuwepo hali hiyo isingebarikaTimu kubwa kutegemea mchezaji mmoja ni aibu sana
Loh!!!!!!Lala baby nimekuruhusu, Am always praying for us honey kila siku[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] God gave me you for the ups and downs tutayashinda yote baby.
Lala unono Mpenzi Malaika wake Mungu wakulinde.... NAKUPENDA SYB[emoji132] [emoji131] [emoji8] [emoji8] [emoji8]