ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
AlasiriMchana
Cole umetupia hile picha ya dogo nimejikuta saa nzima hapa namuangalia tuSometimes
Toa likes kwa kila post mkuuSijui mkoje humu
Kwa watu woteLikes
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni tapeli sana ubadilika badilika kila mara.
Ila habadiliki kuvaa suruali yake nzito ya kitambaa rangi ya pink.
ANGELICA HALEUsiache mbachao kwa msala upitao
CELINE TAMMoments
Yap mchina mambo vipi habari za JumapiliHabari za weekend
Mchinaaaaaa
Umeanza mambo yako
HahahahahaNjema kabisa rafiki naona leo umevaa suit nyeusi na viatu vya pink.
Habari rafiki?
Indeed mkuuUnamfahamu kumbe Mimi ananifurahisha she is very intelligent girl
AMUN RA11:54
Siku inayoyomaSiku inasonga mbele
Kwa kila postLikes
AMUN RA12:00
YapSiku imegawika katikati..
Hahaha a nadaiwa na naniKichwa kichafu kakusikia
AMUN RA12:02