Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1505645877308.jpg
 

Sasa unataka sisi tufanyeje mkuu?
Hapa ni likes tu mengine haya jukwaa la siasa linahusika....

Ila ingefaa polisi wakawaacha watu wapige hela bana...
Au we unaonaje?
​
Hivi leo SYB umemficha wapi?hebu mruhusu aje japo tumsalimu?
Wivu gani huo jakitoo[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Jumapili inaendeleaje wakuu?
Ndo nimetoka kanisani...
Nimewaombea wote...
Mungu Aendelee kutubariki sana na kutupa faraja
Sisi na wapendwa wetu...

Na kila tupatato nafasi...
Tujitolee kuwasaidia wenzetu wenye matatizo...
Mbarikiwe sana !!!
​
Amen. Ubarikiwe sana. Uwe na uvumilivu kwa kila mapito (sijajua ujio wa andaeitini) ambayo yanaweza kukutoa kwenye reli. Uwe na siku njema
 
82' Yellow card Eric Bertrand Bailly
80' Herrera is put under pressure by Rooney in his own half, but the Everton forward is too overzealous in his challenge and concedes a free-kick.
78' Lingard turns Williams in the box and goes down under pressure. His effort trickles into the hands of Pickford, but the winger continues his appeals for a penalty. However, the referee turns down his claim.
 
Back
Top Bottom