Hahahaha, daa, kaaazi kwelikweliUnaongea na mimi au na simu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubuyu, kazoeni mtuletee tuonje[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna ubuyu kuleeee
He!!Mods popote mlipo naomba mfute uzi huu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wapige ndoa ya mkekaKK na joseverest ni vijana wasumbufu sana, kila wapitapo lazima libaki kovu...
Kuna haja ya kuwaozesha kwa lazima...
Na kalivyo na kiherehere[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui chasungu yuko wapi leo,natamani nione anavyopigwa baakora na baba mwenye nyumba[emoji23][emoji23]
Nothing new there hovyo kama liverInterview
Umeona eehUkiitwa itikia, kaongeze maarifa utuletee hapa
Sawa jiraniKwani kuna kosa jirani?nadhani kila mmoja ana jukumu la kutembelea thread zote kisha alete mresho hapa kwenye uzi mama.
Zama za Tambaza full ubabeWazee wa zama tupo Mkuu
Ujakosea wala nakujua sana wewe kwa ubuyu tu hujamboNimekosea ujue??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha nikimbie mapema maana