Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna nini shemeji leo? Nani kakutibua tukamtibue mpaka atibuke?Mimi hapa nikiwa na akili timamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mods futa huu uzi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kuna nini shemeji leo? Nani kakutibua tukamtibue mpaka atibuke?Mimi hapa nikiwa na akili timamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mods futa huu uzi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Carba akiwa na Akili zake timamu anataka Uzi huu ufutwe angalia post za juuNini kinaendelea?
Huyu dogo wa kiduku ni shida. Itabidi mkae mbali na Yen nyie wazee wa Forex. Soko lote pia laweza kutibukaMkuu kwema kabisa Jumapili inaishia kesho pilikapilika kama kawaida North korea kafanya mambo nasubiri soko la kesho naona yen itaangukia pua
Avatar zinakuchanganya shemeji. Umeshapiga jibapa ama?Hivi leo SYB umemficha wapi?hebu mruhusu aje japo tumsalimu?
Wivu gani huo jakitoo[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Ni kweli kabisa,Indeed namba zitaua Uzi huu Amini nakuambia
Hata sijui kwakweli nimejikuta tuUnacheka nini
Andaeitini wa nini tena mkuu? Nina amani sana leo sitaki purukushani kabisa. Perceiving things at a cosmic level today...and you are talking about Andaeitiini?Amen. Ubarikiwe sana. Uwe na uvumilivu kwa kila mapito (sijajua ujio wa andaeitini) ambayo yanaweza kukutoa kwenye reli. Uwe na siku njema
5g bana hahahaaaMan u wa kubebwa
Man u wa kubebwa
View attachment 590269[emoji24] [emoji24]
SuperRip Shabani dede
Super motisha, RIPRip Shabani dede
DuuuHahahahaha wewe kweli au mtu amepora cm yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kupigania likes kwa njia ya kupost posts zenye maana ni ngumu; na mtu aliyezoea kuweka namba tu sidhani kama ataweza.Ni kweli kabisa,
Natumai kila aliyenufaika na namba hiki ni kipindi cha kuachana nazo tu.
Amewapa sababu yo yote? Nadhani jibapa linahusika hapo. Au kuna mtu kamtibua?Carba akiwa na Akili zake timamu anataka Uzi huu ufutwe angalia post za juu
MAN UNITED wanaongozwa kubebwa duniani koteHivi mpka ulaya watu wanabebwa