mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Msondo Ngoma
Andaeitini wa nini tena mkuu? Nina amani sana leo sitaki purukushani kabisa. Perceiving things at a cosmic level today...and you are talking about Andaeitiini?
Kwema lakini?
Hamna shemeji niliboreka tu humu leo ndio manaKuna nini shemeji leo? Nani kakutibua tukamtibue mpaka atibuke?
Nisamehe bure shemAvatar zinakuchanganya shemeji. Umeshapiga jibapa ama?
Hilo jina linanifanya nisiulize swali kwenye Uzi huoUzi wa muosha Rungu, uzi wa interview. Kichwa, carb na numbisa ni kati ya member muhimu wakimgonga maswali faiza fox kuhusu historia yake
[emoji6] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata sijui kwakweli nimejikuta tu
Usiyempenda kaja[emoji23][emoji23][emoji23]Are you guys calling me?
Hahahahaha kwenye jibapa sawaAmewapa sababu yo yote? Nadhani jibapa linahusika hapo. Au kuna mtu kamtibua?
Kyela sijawahi kufika. Nina mpango wa kufika hapo na kisha niuvuke mto songwe nifike mpaka viji vya mpakani vya MalawiMzee wa mizunguko, umesha wahi fika huko?
Kweli kabisaMAN UNITED wanaongozwa kubebwa duniani kote
[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] carbaaHivi leo SYB umemficha wapi?hebu mruhusu aje japo tumsalimu?
Wivu gani huo jakitoo[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
andjul
SHIMBA YA BUYENZE
Yegomasika
COLE Williams(we najua waangalia mpira?
Nyie wengine mmetekwa ama??[emoji22][emoji22]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ubuyu, kazoeni mtuletee tuonje[emoji3] [emoji3] [emoji3]