carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mkuu kwema kabisa Jumapili inaishia kesho pilikapilika kama kawaida North korea kafanya mambo nasubiri soko la kesho naona yen itaangukia pua
Unawaza mbali sana kiongozi...
Kwema lakini?
AminaJumapili inaendeleaje wakuu?
Ndo nimetoka kanisani...
Nimewaombea wote...
Mungu Aendelee kutubariki sana na kutupa faraja
Sisi na wapendwa wetu...
Na kila tupatato nafasi...
Tujitolee kuwasaidia wenzetu wenye matatizo...
Mbarikiwe sana !!!
Hivi leo SYB umemficha wapi?hebu mruhusu aje japo tumsalimu?
Sasa unataka sisi tufanyeje mkuu?
Hapa ni likes tu mengine haya jukwaa la siasa linahusika....
Ila ingefaa polisi wakawaacha watu wapige hela bana...
Au we unaonaje?
Sio kijani bluu mkuu bila bilaAseno tumeshacheza?
Tumewaliza wale jamaa wa kijani au tumepigwa?
[emoji23][emoji23][emoji23]ataekasirika ajipige vibao usoniRuta anakuona ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzima sanaMzima kabisa, niaje wewe?
ZigzagHata sijui nianzie wapi kutoa likes...
Usipokuwepo hapa kwa muda ukirudi ni kasheshe...
Ni kweli, kila siku zinavyo sogea na siku zako za kuishi zinazidi kuhesabikaSalama mkuu,
Wiki zinakatika na umri unazidi kwenda
Hahahahaha[emoji23][emoji23]View attachment 590276
Amen. Ubarikiwe sana. Uwe na uvumilivu kwa kila mapito (sijajua ujio wa andaeitini) ambayo yanaweza kukutoa kwenye reli. Uwe na siku njemaJumapili inaendeleaje wakuu?
Ndo nimetoka kanisani...
Nimewaombea wote...
Mungu Aendelee kutubariki sana na kutupa faraja
Sisi na wapendwa wetu...
Na kila tupatato nafasi...
Tujitolee kuwasaidia wenzetu wenye matatizo...
Mbarikiwe sana !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 590269[emoji24] [emoji24]
Cc SHIMBA YA BUYENZEMimi hapa nikiwa na akili timamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mods futa huu uzi[emoji125] [emoji125] [emoji125]