Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7656069dfd88f1d98776090e622f2dc4.jpg
 
Yaaani mimi nikiwa kwenye madude kama haya huwa sina amani kabisa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa na mimi. Huwa nayapanda tu kwa sababu hakuna namna.

Kuna kipindi nilipanda Boeing 737 ya ATC kutoka Dar kwenda Mwanza yaani mabunda ya nyaya yako wazi kwenye mabawa halafu wakati wa kuruka makelele kama vile inataka kuachana nikasema hapa leo kazi ipo. Lakini tukafika salama. Mungu Mkubwa !!!
 
Back
Top Bottom