Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]

[emoji95][emoji115]Playing safe make no heroes. Ordinary people play it safe that's why they are ordinary.

Life is full of risks. But that is not the problem. The problem is, too many of us fear to take risk.

We run away from the pain of risk and we carry the burden of regret all our lives. If you really want it, go and get it.

If you do what everyone else is doing, you will make no difference. But if you want extraordinary results, you must go that extra mile.

When you really want to do it, I don't see how people are going to stop you. No. Never!

You can do it. I BELIEVE IN YOU!

Good morning &
Great week ahead! [emoji253][emoji123][emoji4]

[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
Morning.

Thanks with good Inspiration
 
Sawa na mimi. Huwa nayapanda tu kwa sababu hakuna namna.

Kuna kipindi nilipanda Boeing 737 ya ATC kutoka Dar kwenda Mwanza yaani mabunda ya nyaya yako wazi kwenye mabawa halafu wakati wa kuruka makelele kama vile inataka kuachana nikasema hapa leo kazi ipo. Lakini tukafika salama. Mungu Mkubwa !!!

Hahaa... Yaani hizo za nyumbani tunazozi mantain sisi wenyewe ndio balaa. Unaweza kuomba wakushushe huko huko angani! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vyakula vyote vinavyozalishwa majini huwa na kiambata aina ya Omega 3 yenye mafuta yanayotakiwa kwa mwili wa binadamu yatokanayo na samaki, yana mbegu maalumu zinazomsaidia binadamu katika ukuaji ambazo pia ni maalumu kwa faida ya mfumo wa ubongo na neva.
 
Kwa upande wa Tanzania, watu waliozaliwa na kuishi maeneo ya pembezoni mwa bahari, maziwa, mito ikiwemo kisiwa kama cha Ukerewe na maeneo mengine karibu na maziwa Victoria, Nyasa, Rukwa hata visiwani Zanzibar wamebainika kuwa ni watu wenye akili nyingi na wanaishi kwa muda mrefu ukilinganisha na maeneo mengine ya nchi kitakwimu.
 
“Samaki wana kiambata aina ya Omega 3 ambayo husaidia katika ukuaji wa binadamu na kujenga ubongo wake vizuri, ndiyo maana watu wanaoishi katika maeneo yaliyozungukwa na maji mengi ‘bahari, mito au maziwa’ ni watu wenye akili nyingi na watambuzi hata kama hajaenda shule na akienda shule hufanya vyema sana darasani kama ni mtoto, angalia watu wanaotoka ukerewe au sehemu nyinginezo,” anasema Materu.
 
Wajawazito wanapaswa kula samaki kwa wingi ili kukuza ubongo wa mtoto, pia ni lazima wale nyama nyekundu ili kuongeza damu kwa uharaka mwilini ila tunawashauri isizidi nusu kilo kwa siku saba,” anasema Materu na kufafanua umuhimu wa Omega 3 kwa wajawazito.
 
Back
Top Bottom