Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
We ni muhenga. Acha kudanganya watu hapa. Washua mai futi !!!Hivi nyinyi mlikuwa hamkai na wasure wenu wanawapigia story? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa nakuchokoza tu mkuu; na kama nilivyotegemea ushafyatuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji117][emoji117][emoji117]Na kama kujipanga hakusaidii cho chote kwa vile uchaguzi si huru na wa haki, suluhisho lake ni nini sasa? Kulalamika tu hivi na kutukana mpaka lini? What next? Kwenda msituni ama?
Inadaiwa unatembelea mazizi yote mida ya wanga[emoji3] [emoji3]
We ni muhenga. Acha kudanganya watu hapa. Washua mai futi !!!
Kazi kama hiyo kwa Tanzania inafanywa/ itafanywa na kiwenge cha moto, aka mwenge wa uhuru. Gonga likes mwanawane[HASHTAG]#NukuuYaLeo[/HASHTAG] "Michezo inaweza kuamsha matumaini pale ambapo awali palitawaliwa na kukata tamaa" -Nelson Mandela,Rais wa kwanza Afrika Kusini.