Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hawataki amani hawa..
Dawa ya wapuuzi kama hawa wakiwasha moto mnafunga mpaka ili wafaidi. maana imesemwa "ndugu kwa ndugu wakigombana chuukua jembe ukalime, wakipatana chukua kapu ukavune" tulitumia raslimali zetu nyingi kuwaweka pamoja na tukawonya kuepuka ukabila ili wajenge taifa lao. Lakini tamaa ya madaraka inayosukumwa na ukabila inawatafuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…