Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Maria imechepuka mpaka Category 5. Hatari sana. Ikijichanganya ikakata kona kushoto kidogo tu tunalo tena. Sijui ndiyo globo womingi au ndo nini sijui. Sad !!!Mwaka huu haya majanga ya asili mbona yamekuwa mengi namna hii? Sasa hivi kuna hurricane Maria na Jose, huko Mexico tetemeko limendoka na watu 40+ Balaa hii!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maria imechepuka mpaka Category 5. Hatari sana. Ikijichanganya ikakata kona kushoto kidogo tu tunalo tena. Sijui ndiyo globo womingi au ndo nini sijui. Sad !!!
Dogo kafuata makunyanzi hivyo hivyo daah. Ni kama Mzee Jangala (84) na Dilish (28)
Kuna mmoja hapa ni milionea ....
hahahahahaSi umpe sharti Mkuu kwamba utakipekua kuhakikisha si Kichwa Kichafu tena bali kichwa kisafi kisha unamkabidhi bintiππ
Kadunia kote katawaka moto haka.Halafu bado kuna vichaa wawili wanataka wadunguane kwa nuclear! Hatari sana.
hahahahaha
kwa sifa zake huyo jamaa ni kichwa kichafu haswaaa
Kamanda wa pwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi pendwa, hauna chuki, uzi pendwa hautaki povu, Uzi pendwa ni mahali pa amani, tusingependa kupoteza memba yeyote hapa kwa ban, kwa sababu yoyote ile. Je mwaonaje mkiitana kwenye majukwaa husika mkamwagiane povu kisha mchongeane ili mpate na zawadi ya ban? Gonga likes mambo yaishe
bora umezee hivyo hivyoHahahahaha lol! Nilitaka kuuliza swali lakini nimemezea Mkuu. πππ