mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaMzee wa liver huyo hapo
YapHasira hasara
Du si kwa madongo hayoHata bao ni mchezo, aje tu tuushabikie!
KkLeta jogoo hilo limekatwa kichwa tena chemsha maji ndio kazi yako
mzee wa liver.
Watazipiga tu muda si mrefuKabisa mkuu,, us akiri zimewaishia, kwa Kiduku hawakutegemea Kama angefanya makubwa Kama anayoyafanya, halafu tlamp muoga kinyama, mkwara ya maneno tu Hana lolote.
Ndio mpira mkuu wacha tuPole Mzee wa Liver
Daah Ngoja tusubiriWatazipiga tu muda si mrefu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa kama Mtoto kapendamtu mwenyewe anajiita kichwa kichafu halafu nimpe mwanangu amlee
aende zake huko,huyo hata mahari yake sitaipokea kabisa
Basi jamani Nina maumivu hapaLiverpool ndugu zangu hamna lolote
mmepokea mbili kavu kutoka kwa leicester
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yani bora aje mtu mwingine kumtetea ila siyo wewe
mana anasema wewe ni mchizi wake wa karibu so nadhani mtakua na elementi za ukichwa uchafu kwa pamoja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]leo amekalia 2G
Du[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Arsenali mbovu ila liverpool wamezidi
duu
Hahahahaha msela kkHakuna atakayekuja kumtetea msela wangu
Ni mimi pekee
Mkubalie tu ombi lake kwa v[emoji23][emoji23][emoji23]
Klop naye mbinu zake hovyo sanaMane anawacost kwakweli
Ila aseno mmh!hapana
Ho chi MinhMda ule nakuhamsha ubakize usingizi ukaniona kama mzee upara wa uzi mchina
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]"Ujasiri si tu uwezo wa kusimama na kuzungumza; Ujasiri pia ni kukaa chini na kusikiliza wenzako." - Winston Churchill
- Kuwa Msikivu [emoji111]️-
[HASHTAG]#Nukuu[/HASHTAG]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio kichwaLala unono
Ukue hata kisigino
Hahahahaha Mane ni muhimu sana pale liverHuyo mane hata akirudi hawana jipya
sisi asenali tunasubiri tu mzee wenga ajifie basi
Si ndio kafika bei mkuuYani nyie kumpata Viv msahau kabisa
yani baba unamuacha mtoto wako aolewe na mtu anajiita kichwa kichafu hahahaha