Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

69868f7689d20b236f0f5ca189499b83.jpg
 
Niko hovyo hovyo leo lakini kwa msaada wa Mungu nitakuwa OK. Kuna mavidonge fulani hivi nakunywa yananitibua kidogo. We unaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Polee babe Mungu akuponye
[emoji120] [emoji120] Nakuombea

Me sijambo kabisa [emoji5]
 
Back
Top Bottom