Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

We Yego wewe....I am humbled you know (In Le Mutuz' voice) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Napenda kusoma sana and I am fascinated with languages. Nimejifunza funza lugha kadhaa on my own just out of curiosity. Kiswahili ni mojawapo ya lugha safi sana kuanzia unyambulikaji wake, utajiri wa taswira, leksikoni na jinsi unavyoweza kucheza nayo kwa kuigeuza geuza unavyotaka! Ndiyo maana napenda mno vitabu vya Shaaban Robert hasa Wasifu wa Binti Saad. Kakitabu kale huwa nakasoma karibu kila mwezi kwa sababu lugha iliyotumika mle ni mojawapo ya lugha ya hali ya juu kabisa....

Kitambulisho changu kingine hapa JF ni kipi? We Andaeitiini wewe. Chunga sana !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…