Nakubaliana na wewe, yaliyowakuta man u msimu uliyopita huwenda yakaikuta liver mzimu huu. ni habari mbaya kwetuLiverpool ndugu zangu hamna lolote
mmepokea mbili kavu kutoka kwa leicester
Sawasawa ni vyote kwa mpigoPost na kulikes
Kama ni konokono "konokono" tushtuane mkuu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Konokono yupi Carba? Konokono ambaye ni konokono au konokono "konokono"?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Liver siyo mbovu kama Arsenal,Liverpool inakosa mipango furani eneo la ulinziArsenali mbovu ila liverpool wamezidi
duu
We Yego wewe....I am humbled you know (In Le Mutuz' voice) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napenda kusoma sana and I am fascinated with languages. Nimejifunza funza lugha kadhaa on my own just out of curiosity. Kiswahili ni mojawapo ya lugha safi sana kuanzia unyambulikaji wake, utajiri wa taswira, leksikoni na jinsi unavyoweza kucheza nayo kwa kuigeuza geuza unavyotaka! Ndiyo maana napenda mno vitabu vya Shaaban Robert hasa Wasifu wa Binti Saad. Kakitabu kale huwa nakasoma karibu kila mwezi kwa sababu lugha iliyotumika mle ni mojawapo ya lugha ya hali ya juu kabisa....
Kitambulisho changu kingine hapa JF ni kipi? We Andaeitiini wewe. Chunga sana !!!
Kala hela au wake za watu? Au anaogopa watu wasiojulikana?
Kwani salamu ingeishia kwenye "hujambo?" ungepungukiwa? Unapenda kuniongelea ya kunichoma choma sana. Wewe umesema umeokoka, niokoe na mimi kwenye hayo mateso ya kubomolewa mazizi[emoji120] [emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We ndugu, hujambo? Msalimie nsamaka! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
Tayari lipo linagaragara mezaniJibapa liko karibu hapo
Ndio walinda remote ama
Usimuombee mabaya mzee wenga, mchango aliotoa kwenye timu hiyo ni mkubwa mnoHuyo mane hata akirudi hawana jipya
sisi asenali tunasubiri tu mzee wenga ajifie basi
Sikuwa na maana hiyoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee kiona mbali wewe
Ohoooo!!!!!Konokono yupi Carba? Konokono ambaye ni konokono au konokono "konokono"?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiduku kwenye ubora wake
Ndio walinda remote ama