Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Koroma si nazi mbovu, koroma ni Nazi ambayo haijakomaa. Yaani Nusu nazi na nusu dafu, huwezi kuipikia kama Nazi, wala huwezi kula kama dafu.
Hapo sasa. Mzaramo anamsomesha Mkerewe kuhusu nazi. Uzi huu una elimu za kila aina ndo maana nawashangaa wanaouponda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…