Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji106] [emoji106]Kwa uweza wake Muumba natumai sote tu wazima humu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee! Inaonekana uko siriazi. Haya kale "konokono" wako salama. Itafurahisha sana ukileta kamrejesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maujuzi ya kujihami na milipuko ya ho chi minhMogadishu ulipata maujuzi mengi hee
Njema vipi weweHabari za mida hii wadau
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nimejikuta nacheka kwa sauti......inabidi muda mwingine tupumnzike sio kuliwa denda tu masaa yote.....Mwezi asali unafanya nini huku? Unatakiwa uwe unaliwa denda saa hizi lol!
Huenda hatukijuiKiswahili kigumu sana