Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Expectations
Mkuu hawa jamaa si walishatoa rullingSupreme Court of Kenya still in session
Session ya nini tenaSupreme Court of Kenya still in session
HahahahahaHapo sasa Consuela na Alibakari wakiwa wamepata cha Arusha [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema?
HiHello
Nilitaka kuvizia 400k
Duh mnakimbilia wapi.. eeeeh
Vs RealityExpectations
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nimejikuta nacheka kwa sauti......inabidi muda mwingine tupumnzike sio kuliwa denda tu masaa yote.....
Hahahahaha yupo namuona kwenye Uzi mmoja hiviKwema sana. Alfonso wako kapotea hapa karibu wiki sasa. Mwambie arudi. Tunamisi Kiarabu na misemo yake mingi pamoja na uchangamfu wake !!!
HahahahahaKwema? Za masiku?
Uwe unachungulia chungulia na huku. Kuna wakati Jukwaa la siasa pia linahamia na huku siku hizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I see. You are trying to eat your cake and have it too [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lakini sio lugha chafu
Du anakukumbusha mkuuAsante sana. Weka post tukujaze [emoji23][emoji23][emoji23]