mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
19:4519:16
Jakitoo bhanaVs Reality
Mwambie akuje bhana Siku hizi kuna cha scorpionHahaha nimemficha huku......ngojea nimwambie aje walau awasalimu
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] Mungu anakuona ujue[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Hapo sasa Consuela na Alibakari wakiwa wamepata cha Arusha [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema?
Asante mkuu nimekupataKoroma si nazi mbovu, koroma ni Nazi ambayo haijakomaa. Yaani Nusu nazi na nusu dafu, huwezi kuipikia kama Nazi, wala huwezi kula kama dafu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Simba mwenda pole[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106]
Aisee! Kweli Consuela kakuchomoa huko ulikokuwa. Wanawake wana nguvu ya ajabu.Habari zenu humu, mko poa?
Cc: consuela wa mimi
Wanaouponda wana shida zao kwa KweliHapo sasa. Mzaramo anamsomesha Mkerewe kuhusu nazi. Uzi huu una elimu za kila aina ndo maana nawashangaa wanaouponda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
AMUN RAAMUN RA
Wewe gonga likes mkuu post na likes hapa ndipo kwenyeweKwani Chumba hiki kina nini nasoma post zinapandana zingine
HahahahahaUsiniulize maana. Hata mimi sijui. Actually hata lugha yenyewe siijui. Wewe gonga likes tu basi.