Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

10. Tafuna mbegu za maboga
Maajabu mengine ya mbegu za maboga ambayo ulikuwa huyajuwi bado. Utaniuliza kivipi zinaondoa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume? Kwanza kabisa zinaondoa msongo wa mawazo/stress kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, lakini pia zinashusha lehemu (cholesterol), zinatibu kisukari, zinatibu tezi dume (matatizo kama ya ngiri nk), zina protini nyingi ya kutosha na yenye ubora na mbaya kuliko zote ni kuwa zina madini ya ZINKI madini mhimu kuliko kitu kingine chochote kwenye upande wa nguvu za kiume na kinga ya mwili. Bado huelewi? Zina madini ya chuma pia
Yu mini zati, kuhangaika na mipweza, limlonge, mikaranga mibichi, liugali la dona na maharage chukuchuku(msosi wa akina uniq shuleni),mihogo mibichi ni kujitesa tu?
Hebu rudia na ujasiri wa kula "konokono" mama, nataka nianzie huko nimchambueeee.... "konokono" hadi kinyaa kiseme basi nataka tena, then.....
 
Back
Top Bottom