Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila mmoja una umuhimu wake ila matunda ndio tiba nzuri zaidi
Yu mini zati, kuhangaika na mipweza, limlonge, mikaranga mibichi, liugali la dona na maharage chukuchuku(msosi wa akina uniq shuleni),mihogo mibichi ni kujitesa tu?
Hebu rudia na ujasiri wa kula "konokono" mama, nataka nianzie huko nimchambueeee.... "konokono" hadi kinyaa kiseme basi nataka tena, then.....
Hahahaaha achana na kono kono,chumvin pabaya
 
Kila mmoja una umuhimu wake ila matunda ndio tiba nzuri zaidi

Hahahaaha achana na kono kono,chumvin pabaya
Usijali mkuu, ubaya wake ndio furaha ati [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa jinsi pweza alivyo na sura mbaya, nani alitarajia kuwa angependwa sana na watu?
 
Afya ni uhai utakapo jali afya yako basi unaongeza siku za uhaiwako hapa duniani.Lishe ni muhimu kuzingatiwa na kufata miiko yake ili uwe na afya bora ,kawaida baada ya mlo tumbo linakuwa limejaa mtu anajisikia kulala au kafanya jambo lolote jingine ili aweze kujisikia ahuweni, kuna baadhi ya vitu havishauriwi kufanywa baada ya mlo unaharibu afya yako pasipo wewe kujua ila leo utajifunza ni mambo gani hayo
 
1.Kulala baada ya mlo mwanadamu anatakiwa kulala masaa 3 baada ya mlo wake ,iwapo akalala kabla ya hayo masaa sio vizuri kiafya,chakula kinatakiwa kisagwe tumboni mwili ukiwa unapilika pilika sio ukiwa umepumzika kwa kulala,kulala baada ya mlo husababisha matatizo ya utumbo na kukufanya kuongezeka uzito kwa haraka.
 
2.Kuoga baada ya mlo-kunasababisha kucheleweshwa kusagwa kwa chakula ,damu sehemu ya tumboni inakuwa inasafirishwa sehemu nyingine za mwili haswa mguuni na mikononi pindi uogapo badala ya damu kutumika kwenye mmeng’enyo wa chakula,unachotakiwa oga ndio ule sio kula ndio uwoge.
 
Back
Top Bottom