Mazoezi-binadamu tunatakiwa kufanya mazoezi ya miili yetu ili kuikinga na maradhi,kupunguza uzito,kutoa mafuta na sumu tunayoila kupitia vyakula,mazoezi muhimu kwa mama mjamzito,watu wenye pressure, uzito mkubwa, na maradhi mengine sugu ,mazoezi yapo ay aina nyingi unaweza kwenda gym,au ukafanya nyumbani ya kukimbi,kuruka kamba,kuogelea,kutembe mwendo mrefu,kuendesha baiskeli,kucheza mziki na mengineo mengi irimradi mwili wako uwe na movements nyingi.