Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ngogwe siyo pilipili hoho
Mungu ni mwema [emoji120] [emoji120]Kwema tu kiongozi
Hahahaaha achana na kono kono,chumvin pabayaYu mini zati, kuhangaika na mipweza, limlonge, mikaranga mibichi, liugali la dona na maharage chukuchuku(msosi wa akina uniq shuleni),mihogo mibichi ni kujitesa tu?
Hebu rudia na ujasiri wa kula "konokono" mama, nataka nianzie huko nimchambueeee.... "konokono" hadi kinyaa kiseme basi nataka tena, then.....
dah! enzi hizo...Bulicheka hakuwa mgagagigikoko
Kwa nini?Uzi huu wallah in ISIS voice