Naelewa Yegoo.... mafundisho ya dini yenyewe ulikimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41]Hahaaa... Nategemea huchukulii mambo ya humu seriously, tunachangamshana tu hapa! Huo Ukatekista wenyewe tu siuwezi itakuwa uchungaji? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Ruta vipi nawe umeingia kwenye hicho Chama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aende akatafute walio potea. Sio kwa Babe SHuyu Pastor ni shida. Hapo yupo anasaka waumini !!!
Ati nini?Wakikosea safari hii ni risasi tu
[emoji9] [emoji9] [emoji9][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Tulikuwa safari tumerudi leo. Kesho tunakwenda Tanga. Ka Babe S kanadeka tu hapa.
Mkuu Ruta Leo
Yeye anapeleka mahubiri yake feki everewhea siyo kwa Bebi S pekee. Mabinti wote humu keshamaliza. Naona amerithi mikoba ya KK yule wa mwanzo siyo huyu wa sasa ambaye angalau kidogo kabadilika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aende akatafute walio potea. Sio kwa Babe S
[emoji23][emoji23]hata mimi naonav kakomaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] uwiii imejitype
Storowei[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha safari gani tena hiyo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Bob kuja huku uone