Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimeona. Nikapotezea. Niliamua kufuatilia mahari kwanza. Nitaongea na mkewe amrekebishe !!!Duu unawatukana wasukuma hawajui kunywa supu lakini binti yao unamtaka, wee dogo acha matusi[emoji3] [emoji3] [emoji3] SHIMBA YA BUYENZE jionee mwenyewe[emoji3] [emoji3]
Hiyo misemo ya wazee wa kahawa zilipendwa.Inaweza vuta majanga
Huo ndio ukweli nilisha enda kijiji kimoja SHY nikapika supu walikunywa sana wakasena wao huwa hawanywi mchuzi.Duu unawatukana wasukuma hawajui kunywa supu lakini binti yao unamtaka, wee dogo acha matusi[emoji3] [emoji3] [emoji3] SHIMBA YA BUYENZE jionee mwenyewe[emoji3] [emoji3]
Wewe mbona utoi likes mkuuLikes zinepungua, mwanzo zilikuwa likes za mvua
Love sio Sana but tonight I am all yours as always.Yaani siku hizi unavyojua kutoroka
Usiondoke, baki hapa uendelee kurembua nasi tule kwa macho[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimeaga ila sijui kwa nini siondoki...
Mmachame kawa msukuma[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndiyo. Unabisha?
Mzee wa chugaWakuu nipeni ma like basi.
Yap mkuuBonde la Kiwira coal mine,ukitoka Ushirika Tukuyu kwenda Kyela