mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatapotea kama ho chiNaona umekuja na mashairi yako ya zamani. Mkuu kuwa makini
HahahahahaDogo naona anatafuta kuishia alipoishia Ho Chi Minh
Tizi gani kwenye mafuriko hapo? Si ajabu hata kuogelea hujui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya kutoka China, naendelea na tizi hapa
Wakuu wanalalamika unaharibu maziziMambo poa kabisa. Tunakamata likes kama tunalia vile! [emoji23][emoji23]
Una fujo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
you wish[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaMtu asiyejulikana aibukia kwenye uzi wa likes[emoji3] [emoji3]
Kanatingisha kuona kama ngome ni imara. Kakihisi kuna kaupenyo tu samuwhea hakoo kanatoa ofa ya mafuta ya upako. Hovyo kabisa !!!you wish[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] babeAnampenda sana mumewe mpaka kaamua kuwa chasaka. Unajua ni mapenzi ya aina gani yanaweza kumfanya binti wa Kichaga kujivika uchasaka? Wewe inakuhusu nini? Mbona kama umekomalia hii ishu kiaina? Puliizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]