Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaongoza kanisa la kike?
 
Anampenda sana mumewe mpaka kaamua kuwa chasaka. Unajua ni mapenzi ya aina gani yanaweza kumfanya binti wa Kichaga kujivika uchasaka? Wewe inakuhusu nini? Mbona kama umekomalia hii ishu kiaina? Puliizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
No comments mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Amuulize Mchina. Mpaka leo hayuko sawa. Na kagoma kabisa kusema kilichompata. Shemeji yangu yule hana mchezo !!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…