Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4. Madeni Huzuia Sound Pollution. Yaani Hata Kama Umelewa Na Ulikuwa Ukiimba Nyimbo Njia Nzima Ukipita Mtaa Anaoishi Anayekudai Tu Unanyamaza Automatic Na Hata Ukifika nyumbani Pia Majirani Zako Wanapumua Maana Huwashi Kile Ki - Sabuufa Chako Pasua kichwa.. ​
 
Tafuta kifutio, tukimaliza kuchat unafuta yote wasiyaone! Ila hisia zangu kama yule vaisi chea mnoko yupo kabana sehemu! [emoji23][emoji23]
Vaisi Chea Mnoko yupo anakuchechi huku kakunja ndita balaa...
Ukiendelea kukaa mbali na bebi wangu...
Utaishi kwa raha sana katika uzi huu...
Ukuda, unoko na urugaruga wangu kamwe hutauona....

Vinginevyo utaendelea kuishi hivi hivi ka digi digi...​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…