Nimeamka salama,za wewe?Mwache tu apate presha kwanza ili akome kunikimbia[emoji38]
Umeamkaje
FuleshiiiNimeamka salama,za wewe?
Teh teh teh nsamaka wapi mzee nimemkumbuka sanaNyimbo zako ni zile staili ya "masantula mgoma ya..."[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] waenda mdogo mdogo...
watu mna manenoHamira nifutue, utavimba na kunenepa sehemu zote mpaka zile anazopenda Andjul[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndugu yangu kwemaFafanua nikuelewe mkuu, umeshakalia siti hiyo?
Teh teh teh "riziki popote" umeelewa hayo maneno maana yake [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu usimsumbue kijana wa watu, khaaa. Keshasema anaogopa jina lako bado unamsonga kwa maswali tu.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
We si ilinikimbia?subiri alete maua uone ntakavyo yapokea[emoji57][emoji57]
Nimekununia[emoji57][emoji57][emoji57]
Ukanitoroka jana kuniacha pekeyangu na feki pasta[emoji57][emoji57]
Nimeamka SalamaNilikuja baada ya kuniacha mwenyewe humu
Mzima lakin?umeamkaje?
Umeona Numbisa bora hata unisaidie anataka nijikwae.Hhahahaaa asubuh asubuh unataka kumpa presha cole
Ukijikwaa utakua umeshapata sababu ya kwenda kutibiwa na dokta carbaUmeona Numbisa bora hata unisaidie anataka nijikwae.
Yup kiongozi niaje mjeda.Kichwa kichafu mkuu