[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siku hazigandiUle ukuta, hasa hasa upande wa kusini na mashariki mwa uwanja nimeurukia mara kibao. Kipindi kile kulipa kiingilio ilikuwa ni ushamba uliopitiliza[emoji3] [emoji3]
Na ww u likeMwendo wa likes
Wana waogopa marekani saana.North korea
Mkijaribu mtakula za chembe.Tunajaribu dude lingine wikend
Ivyo toa like.likes ndio lengo la uzi huu
Nmechafukwa natoa like.toa likes upate likes
Wee mzee jiangalie sana,haujui uhusiano wangu na Cole? Nimpole carba ili iweje sasa?Mke wa mwenzio usimuonee wivu, we mchunge nsamaka tu carba achana naye hakuhusu. Usijifanye kumuonea wivu kumbe unatafuta kiki za kupora wake za watu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
sijui ugomvi wenu bali nasema likes zitembee.Wee mzee jiangalie sana,haujui uhusiano wangu na Cole? Nimpole carba ili iweje sasa?
Nipo hapa kumlinda asirubuniwe na nyie waharibifu,carba ni mvumilivu sana ila pia ni binadamu.Acheni kumshawishi,ipielo ikiisha (hata sijui inaisha lini Mungu wangu) Cole atarudi waendeleze libeneke... Kaa mbali na carba fo yua ouni riski...