Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Ila na wewe ni kaongooo,ikifika saa nane utakuwa nae hapa...

Ila leo najisikia kukuletea maua aisee! Vepe, walugaluga weshaondoka humu au wamebana kona wanachunga mizigo yao? [emoji23][emoji23]

Mke wa mwenzio usimuonee wivu, we mchunge nsamaka tu carba achana naye hakuhusu. Usijifanye kumuonea wivu kumbe unatafuta kiki za kupora wake za watu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

I am every where just a matter of time

[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Wamesepa wote[emoji23][emoji23]

Yes, na wasirudi kabisa! [emoji123][emoji123]

[emoji23][emoji23][emoji23]subiri aamke huko aliko

Ila jiandae tu kesho[emoji23]

Tafuta kifutio, tukimaliza kuchat unafuta yote wasiyaone! Ila hisia zangu kama yule vaisi chea mnoko yupo kabana sehemu! [emoji23][emoji23]

We mtaje tu[emoji23][emoji23][emoji23]au nimuite
Cc:vaisi chea mani[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Kausha bana! [emoji23][emoji23]

Unaogopa eeh
Nilisema mapema,utabaki nae humu,ukabisha weeee...
Ahsante Cole,upo evere wea ingawa sijui ni evere wea ya Mbeya au wapi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…